carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ohoooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona ziligusa lips zangu we mbona mitego imekuwa tena
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moud ni mzee wa fursa yule
26 days ago[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1 hr ago
Kama kawaidaLikes
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaliiiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewee
MistariMi naaminika, ukinipata mimi utajiona kama umezaliwa upya kabisa, utapata furaha za ndani na nje pia. Utayasahau yote yaliyokusibu. Utajiona malaika uliye duniani. utakula unachotaka na si ulichopata. Utaishi pale unapopenda hapa duniani. Nipo tayari hata kukupeleka kwenye sayari ya mars ukaone mambo mapya. nadhani ungependa kuitembelea dunia, hayo pia yapo chini ya uwezo wangu. Uamuzi ni wako. Achana na wanafunzi wa mapenzi wataishia kuuchoma moyo wako. Karibu mrembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuacha mama wewe tu sema utakalo mremboWache Cole wangu jamani[emoji23][emoji23]
Four figurePeriodic table hadi hii imo. ?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaha simbaUkicheka tabasam lako acha tu wengine wanaona emoji tu haya mahaba haya
HahahahahaDoooh uniq kuja huku,mali zako zaliwa shekhee
[emoji23][emoji23][emoji23]haiwezi tokea hiyooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaliiiiii....
Duhh!! Usalama wa wake zetu ni mdogo sana.Hawa wavulana wanaaminika saaana na wanawake kwa sababu ya uongo uongo huo...Mi naaminika, ukinipata mimi utajiona kama umezaliwa upya kabisa, utapata furaha za ndani na nje pia. Utayasahau yote yaliyokusibu. Utajiona malaika uliye duniani. utakula unachotaka na si ulichopata. Utaishi pale unapopenda hapa duniani. Nipo tayari hata kukupeleka kwenye sayari ya mars ukaone mambo mapya. nadhani ungependa kuitembelea dunia, hayo pia yapo chini ya uwezo wangu. Uamuzi ni wako. Achana na wanafunzi wa mapenzi wataishia kuuchoma moyo wako. Karibu mrembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kibiti nimekwisha suluhisha ndoa zaidi ya 200kNdoa za watu zipo salama
Umeamka kiongozi, hapa sherehe inaendelea. Ingia upate likesHeshima yako Mkuu.
Not concerns my QueenSikumkuta na kupotea kwake mzee wa liver na ISIS wanahusika
Ajaribishe tu....Na haibadilishwi ng'ooo[emoji6][emoji6]