Ha ha.......haya bana.......kovidi yamsia.......
Unachagua diwani, mbunge , rais na mke/ mume unapewa . Huu mwaka siyo wa kupita bure.Mwaka wa.mafurikoooo huuuuu
Naonaaaa stationary za jf zikiteseka kutengeneza kadii za michango na ndoaa
WENYE stationary kazikwenuu
za kuchangiaaa harusipiaaa ama.maharii yakoooUnachagua diwani, mbunge , rais na mke/ mume unapewa . Huu mwaka siyo wa kupita bure.
Sikupendiiiiiiiih lolNakupenda [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Weka vigezo vyako, wahusika watapitia hapa kuona.Mi nataka ila iwe desemba 2021
Unasemaje [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Sikupendiiiiiiiih lol
We ni handsome? Una mzigo wa maana hapo kati?Umri: 23
Elimu: Degree
Sina mtoto
Natafuta : sugar mamy
Nipo dar
Jamani msicheke wala kukebehi kila mtu na akipendacho maisha yenyewe mafupi aya. Tuelewe kila binadamu ni tofauti na matamanio ni tofauti kama wewe unapenda nyama usituponde tunaopenda samaki.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] natania bhanaaaah hivyoohUnasemaje [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Bibie[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] natania bhanaaaah hivyooh
Mmmmmmh nambieeh babueeehBibie
Duuu ulikuepo tokea enzi za alexander the great,alfred the great..Age: 1000+
Specie: Hybrid (vampire +werewolf)
Location: dar es laam
Education level: 7 degree
Professional: ancient botanist, writer,philosopher, word war 1&2 former solder,doctor,engineer
Nimekuja tu kusoma Uzi Niko na konyagi pembeni
Unataka tango basi apo tutawezana, nakuja pmWe ni handsome? Una mzigo wa maana hapo kati?
Avatar hiyo mkuuMmmmmmh nambieeh babueeeh
Mi sio handsome Ila upo wa kushato vipi nije?Mi natafuta handsome mwenye tango tu kaka upo njoo inbox
Dah! HapanaMi sio handsome Ila upo wa kushato vipi nije?
Basi sawa!Dah! Hapana
Npm my loveJina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm