Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Name: John

Residence: Nairobi & Dar es salaam.

Looking for girlfriend/wife. Age is nothing but number.

Contact: +254781847643( whatsapp)
 
kwan wanyakyusa na wahehe wana tatzo gan?
 
Jinsia Male
Umri 26
Elimu O level
Kazi : Mjasiriamali/mfanyabiashara

I'm looking woman for relationship
Age 20 - 35
Awe na kazi

Location Kilimanjaro
 
Umri : 33
Dini : mkristo
Kazi : mfanyabiashara
Makazi : DSM
Elimu : degree
Jinsia : Male

SIFA ZA NINAEMTAKA
umri : 18-29
Elimu : At least form 4
Dini : Yoyote
Kama ana mtoto wasizidi wawili
Nahitaj mwanamke ambaye tutatengeneza familia na maisha.

Nichek PM kama upo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee jamaa hapo mwisho umezingua unataka kuwatenga dada zetu wa ntwara na uzaramoni njoo kibiti huku uchukue toto lakizara uchanganye damu mzee na sisi watoto wetu wapate sehem nzuri ya kukojolea
 
Age 26
Kanda ya Kati
Kazi ninayo
Nataka mke awe Lutheran
Age yake iwe below 23
Awe mrefu kdg
Msafi kwa siku awe anaoga Zaidi ya Mara tatu
Asiwe chibonge Sana
Awe Hana mtoto
Karibuni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umri: 33
Makazi: Morogoro
Elimu: Nimeishia Kidato cha Sits
Kazi: Nimejiajiri
Rangi:Mweupe
Kuhusu Mimi: Mwenye hofu ya mungu lakini Conscious ingawa nilikuwa Roman Catholic

Ninayemtaka
Umri:24-28
Elimu:Ajue kusoma na kuandika,form four na kuendelea itapendeza
Kazi:Sio kigezo kwangu
Rangi: Napenda awe mweusi,mrefu mwenye afya asiyejichubua/no skin bleaching
Dini: Sio kigezo kwangu,itapendeza sana awe na hofu ya mungu na awe tu Conscious
 
Kwakweli akipatikana mwanamke muha, maji ya kunde/mweupe (sio saaaana), mnyenyekevu, mcha Mungu mkweli anaejitambua kuwa yeye Ni mwanamke na nafasi yake (halafu Kuna nafasi ya mwanaume)..
Aje pm.

NAOA KWELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…