Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kigezo kimoja kimeninyima mke.
 
Umri: 30
Makazi: Zanzibar
Elimu: Degree
Kazi: Mission Town
Rangi:Mweusi
Jinsia:Me
Kuhusu Mimi: Mpole, mchapakazi, msikivu sana

Ninayemtaka
Umri:Wowote
Elimu:Ajue kusoma na kuandika,form four na kuendelea itapendeza
Kazi:Sio kigezo kwangu
Rangi: Yoyote awe mwenye afya, asiyejichubua/no skin bleaching
Watoto : Wasizidi wawili na wasiwe watundu sana la sivyo watachezea makonzi kwenda mbele.
 
Umri:31
makazi: Singida
Dini: mkristo(RC)
Jinsia:Ke
Kabila:muhehe
Mtoto: 1
ninaemtaka: uwe matured' unaweza kutambulishika kokote, unajielewa, unajiamin, elimu kuanzia degree, kwa details nyingn nitafute PM 😏
 
Karibu tuyajenge mdada
 
Hellow!
Habarini wapendwa mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume mwenye nia ya dhati, bila kujali nina mtoto au sina mtoto
SIFA ZANGU
Umri:30yrs
Marital Status:Single,sijawahi kuolewa
Colour:Maji ya kunde
Kabila:Mkinga
Education:Bachelor of degree
Kazi:Nimeajiriwa,
Dini:Mkristo- Roman catholic
Makaz: Dar-es-salaam

SIFA ZA MWANAUME NINAYEMUHITAJI
Umri: kati ya miaka 35 mpka 41
Height- sio muhimu
Colour:sio muhimu
Body size: sio muhimu pia
Makazi: DSM
Kazi: awe anajishughulisha na kazi inayomwingizia kipato ili maisha yasonge
Ila tuh awe mwenye kujiheshimu, mapenzi ya kweli, asiwe muongo uwazi ndio kila kitu, asiwe mkali kwa sababu mimi ni mpole sana atanionea,
ASANTE.
NB: kama unataka kujaribu nakuomba please usije PM, Ninamaanisha..
 
Mimi ni bodab
oda ila nina sifa zote,nije PM?
 
SIFA ZANGU

Miaka 32
Makazi Dar
Elimu Postgraduate
Mwajiriwa
Watoto 3
Mkristo

NIMTAKAYE

Natafuta mtu mzima kuanzia 37-45 asiye na malengo wa kuzaa tena na nitapenda awe na watoto .....tuunganishe familia na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu...wagane watapewa kipaumbele.
 
Mimi nipo RUVUMA,nikipata mkristo mkatoliki itapendeza,miaka yangu 36,awe mweupe au maji ya kunde,nyuma kidogo awe nalo
 
Ni PM
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…