Acha mawazo uzinzi kila wakati tafuta fursa upige hela kuliko kupiga umbeaKha...!!! sa wanaume mnatafutana ili iwejee..???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mawazo uzinzi kila wakati tafuta fursa upige hela kuliko kupiga umbeaKha...!!! sa wanaume mnatafutana ili iwejee..???
Me, dodoma mjini
Kha...!!! sa wanaume mnatafutana ili iwejee..???
Mimi ni ke niko Dodoma
Kiswahili hiki dah Paubae wa tano.Umri 32
Mahali Dsm
Kwa friends tu njoo PM
Cv yako chapa tuione mjukuu.Huu Uzi upo
Aisee nilitaka kuja pm Ila jina limenitisha 🤣🤣🤣JINA: MR. Dafriana da Cruz
NAISHI: FRANCE na TANZANIA
ELIMU: Masters in air craft engineering
RESIDENTS: Lille, France
KAZI: Engineer wa ndege
HELA: Zipo
GARI: ninalo
UMRI: miaka 27
UMBO : half-cast, mrefu na mwili wa wastani
nahitaji mwanamke yoyote yule mwenye rangi yake ya asili. awe mweupe au mweusi ila asijichubue
kama hana biashara nitamfungulia ili awe busy maana mimi kazi nafanyia ufaransa ila akiwa tayari naweza kuja nae huku kwangu
awe na dini yoyote
awe mkweli na mwaminifu
NAWAPENDA SANA SANA
Ooh Dodoma kubwa karibu.Mimi ni ke niko Dodoma
ila ninaeAisee nilitaka kuja pm Ila jina limenitisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisasa ya wapi! Mimi huwa napita sana hapo Kisasa Shell na lori langu nikielekea Kigoma.
Hapo hapoKisasa ya wapi! Mimi huwa napita sana hapo Kisasa Shell na lori langu nikielekea Kigoma.
Sawa. Nikipita hapo nitakushtua.