KabisaThis is too much!
Ndio hapo refa kazingua sanaAfadhali, justice inahitajika.
Tushinde kihalali.
Refa wa Mchongo
Mcheza kwao hutunzwa
Mbona penati halali hiyo?Japo team Uganda ila Hizi penalty za awamu hii hapana 🙌🙌🙌
Wenyeji wote lazima wafuzuJapo team Uganda ila Hizi penalty za awamu hii hapana 🙌🙌🙌
Hapana mkuu penalty ilikuwa ya kiwaki sanaMbona penati halali hiyo?
SanaaaGoli zuri
Uganda mechi ya mwisho yupo na Msauzi kazi ipoView attachment 3438624
Hili kundi bado kazi ipo.