Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hapana. Hawa Kenya wamekuja na nguvu ya soda. Ni vyema Madagaska wacheze hivi hivi kwa utulivu hususani kwa dakika hizi 15 za mchezo. Wana absorb na kuicontain pressure ya Wakenya kwa sasa.

Binafsi nampa asilimia 75 ya Madagascar kushinda hii mechi.
Hata Mimi najua hii game Madagascar wanashinda ila wakifanya mistake wakafungwa ndio imetoka hio
 
Hapana. Hawa Kenya wamekuja na nguvu ya soda. Ni vyema Madagaska wacheze hivi hivi kwa utulivu hususani kwa dakika hizi 15 za mchezo. Wana absorb na kuicontain pressure ya Wakenya kwa sasa.

Binafsi nampa asilimia 75 ya Madagascar kushinda hii mechi.
Kenya watachoka mapema Madagascar Ndio zao adoado na kimzaha mzaha Kenya hawatoamini
 
Ili vibe la wakenya lipo juu nmeona wameshangilia ile jukwaa linainuka kama club World cup vile
 
Kwa mimi wamecheza vizuri hadi sasa tena kwa ukomavu mkubwa sana. Kenya wanacheza butuabutua kama Manchester ya Wami Sokoine Umasaini.
Naona sasa Madagascar damu ishachemka misuli ishawaka moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…