Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Forward za Madagascar zimechoka vibaya mno. Tusubiri tu Jirani atolewe kwa matuta
Ukute hata kwenye matuta nao ni wabovu,ila wanatakiwa watolewe hawa jirani hata tukipoteza baadaye ngoma draw
 
Wadagas wameamua liwalo na liwe sasa wanaslide tu shwaaaa wanakupora mpira if possible wataruka hadi sarakasi dadeq
 
Kenya 🇰🇪 1-1 🇲🇬Madagascar

120' over

Wanaenda matuta

Kivumbi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…