Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Story ya majiran
TZ:[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole jirani umetolewa na kibonde wangu Madagascar
Kenya; penat hazina mwenyewe kabahatisha yule
Tz: ila ndo umetolewa tulia umenikimbia

Kenya:[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana jirani yaani umetolewa na Morocco ambayo mimi niliitoa nikiwa na pungufu ya mchezaj mmoja[emoji28][emoji28]
Tz:[emoji41][emoji41]fanya mambo yako mbona we umetolewa na kibonde wangu
Kenya; ila sijatolewa dk90 kama wewe
 
Tuchekane tu saivi.. maana mmoja wao angepita shida ingekuepo [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…