Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Sudan akiongeza juhudi kidogo anadaka ndoo uwezo anao

Wale madagascar sioni akitoboa kwa Sudan Au morocco
 
Ndio tunawachapa ili tuchukue kikombe na haohao Wazee ila Kikombe tumechukua

Chuki zenu za Kisiasa zibakie huko huko kwenye Chama chenu cha Siasa

Mimi naiona Stars ikichukua Kombe wewe unaona nini? Siiooni timu ya kuizuia Stars kuchukua Kombe mpaka sasa akija Kenya kichapo akija Uganda kichapo Algeria akija na yeye tunagonga tu nani mwingine ?

Morocco hakuna timu hapo
Naona uko mbioni kuchukua ubingwa wa CHAN. Hongera
 
Ngoja kwanza tuone. Ila mimi ni team Sudan, wanangu kabisa. Si kwa vile ni kobazi, lakini Mpira wanaujua kwa Kweli 😁
 
Ngoja kwanza tuone. Ila mimi ni team Sudan, wanangu kabisa. Si kwa vile ni kobazi, lakini Mpira wanaujua kwa Kweli 😁
Wanaupiga kwa asili kabisa.
Tumefika kwa Mkapa
 
Dakika ya 4
Madagascar wanafanya Sub baada ya kiungo wao kupata injury
 
Mi leo sina upande.
Nimekuja uwanjani japo nimekaa na Wasudani hapa.
Wanavibe hao balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…