Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mpira umeanza sasa
 
Kenya washachapwa cha haraka
 
No goal, ilichezwa faulo kabla ya goli.
Ila Mwamuzi kawabeba tu Wakenya
 
Huyu Kitambala, straiker wa DRC ni kitu kweli kweli
 
9'
Game On
0-0
 
Kuna mchezaji wa DR Congo yuko chini pale.
Amechezewa Rafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…