Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Niliwaambia Morocco sio timu ya kuomba ukutane nayo kwa sasa

Hawa jamaa wanapaswa ku compete huko Europe hapa Africa timu ya kuwapa changamoto ilikua ni South Africa senior team( Ile ya akina Mudau na Mokoena)

Madagascar hiki kikombe akichukua basi itakuwa ni kipofu kuona mwezi
 
Hapana, Morocco, Algeria na Egypt huwa zinafungwa vizuri tu na Ivory Coast na Senegal, ndio maana walifika mbali sana na Senegal
 
Mara y
Hapana, Morocco, Algeria na Egypt huwa zinafungwa vizuri tu na Ivory Coast na Senegal, ndio maana walifika mbali sana na Senegal
A mara ya mwisho hao Ivory cost na Senegal walimfunga lini ?? Naongelea hii morocco ya kuanzia kombe la dunia kuja sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…