Ah wapigaji wanapenda kuleta wachezaji wa youtube lol.Sasa si watu wakadake vipaji huko?
Ile middle namba 2 naielewa sana.Ah wapigaji wanapenda kuleta wachezaji wa youtube lol.
Madagascar hapo chukuwa captain wao no.4, chukua lalaina namba 8, chukua fullback right namba 21 leo hajacheza koz ya njano mbili chukuwa na auper sub no. 20 na yule mido nywele blich no. 2
Hawa ukuta wao noma sana backline imejaa vipaji. Yule no13 fullback ya kushoto ulaya inamuita. Centre back no. 2 na no 15 nao watu na nusu.
Mwamnyeto the knee boy😂😄😄😄 Mwamnyeto which??
Kama tunashindana marekani huoni Morocco tumewapita mbaliYaani tajiri akajifunze Kwa masking😀
Maana sio kwa mperampera ule dahhChangamoto ni kushikilia kamba
Sisi tumeshazoea kwenda Congo sijui wapiMechi zao uwa nikiangalia namuangaliaga sana yeye, kwenye mechi dhidi ya Kenya alipiga penalt kali hadi kipa wa Kenya akamfata kumpa mkono
Madagascar kuna mali sana