Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

FT
Mauritania 0
Tanzania 1
 
Mudathir anakuwaje man of the Match for that performance?
 
Reactions: K11
Shomari Kapombe alipaswa kuwa Man of the Match
 
Kweli
Yaani hii team ni kubwa kuliko kocha huyu imemzidi uwezo

Naona nado anafanya ujinga wake hapa hivi huyu ni ndugu wa kocha wetu?

Nafasi ya nado kuna mawinga wazuri zaidi
Often chikola
Idd kipagwile

Sio upuuzi wake huyu old skool winger
Daah tuseme ukweli kocha yuko vizuri sijui wenzetu mpira huwa mnaangaliaje.
 
Ila Saadun hamna kazi mle
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…