Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Line 1 mzushi...huyu kala mlungula wee refa yupo mbali anaona handball line 1 ambaye yupo karibu kauchuna🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilisema hawa wahindi koko watatusumbua
Tunawagonga hawa km sio 3 basi 4 kuna wachezaji wanacheza km wamefungwa miguu Shekhan sub yake imekuaje sijui hayupo mchezoni Moroko aangalie cha kufanya
 
Pale kati pale, Kiungo imekufa....Kagoma alikuwa na umuhimu mkubwaa
 
Na Tukizubaa watatupenya watupite mchana kweupeeee


Ngoja tuone
Hawa hawatufungi boli wanalicheza na sisi boli tunalicheza wao kinachowabeba ni kasi ila wote gozi linatembea hawa tunawafunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…