Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Morocco wamebutua nje kabisa
Wanacheza wanajikokota? Madagascar jana walikua wanacheza km wapo dakika ya kwanza piga boli mwanzo mwisho na hawachoki km wanacheza kwenye shimo la moto au bwawa la barafu
 
Hii dakika moja hii ni ya kuwa nayo makini yasije jitokeza ya Angola
 
Match imeisha hii akipiga tu kipa hii foul inakuwa FT
 
Kenya watakuwa wamewabakisha Zambia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…