Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

Ukikuta Hana mtoto mupee mutoto,ukikuta anammoja mpee wapili ,ukikuta anawatatu mpee wa nne
Sasa hapo utakuwa umrmsaidia au utakuwa umemuongezea .matatizo?
 
Ila ukumbuke wengi wao wanatoka kwenye ndoa mkuu. Nini kifanyike kuwarudisha kwenye ndoa?
Hapana mkuu wanao toka kwenye ndoa ni %3 tu na nyingine waliozalishwa nje ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…