Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
HahahHahahaaa unang'ata na kupuliza hapo hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahHahahaaa unang'ata na kupuliza hapo hapo?
Wagumu tu ndio watadumu mpaka mwisho wewe kwa hii style tutakuacha njiani..Mliona nyuz tu hazitoshi,mmeamua kuwaanzishia special thread
Kabisa kabisa shindikana. Kilimo kipewe kipaumbele.shindikanaa Mapenzi yafutwe tu aisee
mkuu ume anza Kama una wapa moyo, halafu ume piga kiwiko😄Kauli mbiu ni moja; Mwanaume hatakiwi kuishi kwenye familia ya mwanaume mwengine, toka nenda kaanzishe yako.
single mother msijali, simps never mind.
Siunalea tuu ila kuishinae nooSasa hapo utakuwa umrmsaidia au utakuwa umemuongezea .matatizo?
Hapana mkuu wanao toka kwenye ndoa ni %3 tu na nyingine waliozalishwa nje ya ndoaIla ukumbuke wengi wao wanatoka kwenye ndoa mkuu. Nini kifanyike kuwarudisha kwenye ndoa?
Single fathers wamechill t