Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Ulikua mwenye bahati Sanaaa hongera Sana mkuu
 
Vip mlienda kupima wote au ulienda peke yako? Na kama ulienda peke yako ni hatua gani ulivhukua kwa mwenzako
Na je bado mko pamoja na mwezako?
Hatukwenda pamoja, yule mwanamke nilimpenda sana ila yeye hakuwa na upendo wowote kwangu, alijua khali yake, ila alifanya makudi, ameambukiza wengi na isingekuwa Mimi angeambukiza wengi zaidi, ila baada ya kumgundua nikamwambia ukweli kuwa TUMEPOTEZA but we can live happily tuoane, AKAKATAA, hivyo nilitangaza sana kwa watu wa pale kambini na vijana wengi walisalimika kwa kile nilichokifanya, japo yupo mmoja ndo alikuwa form six likizo, huyu aliambukizwa waziwazi. Iliniuma sana maana alikuwa kijana mdogo, natamani kungekuwa na sheria ya kuzuia hili, maana yule mwanamke alikuwa mtu mzma, ni aibu na huzuni sana kumfanyia vile yule dogo. Anyway baada ya watu kumsakama alijitundika. Hatunaye tena. RIP​
 
UZI WA OVYO NA WAKUOGOFYA KUANZA KUUSOMA MAPEMA YOTE HII.

Somo kubwa na zuri ila Kila comment inaogopeshaa


Ila ahsante mkuu kwa ku Share nasi Somo hili
 
Mkuu una upendo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…