Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Kila mtu ajilinde, hakuna wa kukulinda kama hujilindi
 
Swali kidogo nje
Nina swali kidogo mkuu, hivi ukianza doz ya ARV ndani ya mwaka huwezi tokea umeshau kumeza/kuchelewa kumeza? Na kama ukichelewa vipi kuhusu madhara? Maana nimemaliza doz ya PEP baada ya kuyakanyaga juzjuz ila kikweli nimekua nikipishana na mda sana sijui itakuaje ila najiula ni vipi kwa mgojwa kabisa kama mimi tu siku 28 imekua kazi kusastain muda je kwa mtu anayepiga doz siku zote zs mwaka je hua anafauru huo mtihani!
 
Nakujibu kwa swali
Je ukiwa na ukimwi unaweza sahau kama unao? Japo kwa dakika 5 tu?
 
Safii safi sana mkuu....
Wee mkuu una mambo sana ni vile tu unafanya challenge za ajabu ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ulipima baada ya kumaliza pep?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…