Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
- Thread starter
-
- #661
Tena kwa kabinti kenye muandiko mzuri hivi kama wewe hata sijiulizi mara mbiliSasa mkuu mfano, mimi na wewe
Mimi nakua sijui kama wewe ni mgonjwa halafu nakwambia sitaki ndom so utapiga kavu?
Dah..! So hujali hata nikipata maambukizi au lah?Tena kwa kabinti kenye muandiko mzuri hivi kama wewe hata sijiulizi mara mbili
Dah..! So hujali hata nikipata maambukizi au lah?
Aisee! Nimeelewa kwanini Dini inakataza uzinzi..!Hakutakuwa na michubuko bn, sintafanya kwa kukomoa, mapenzi ni rakha sio kukomoana. Anyway natumia dawa vzr uwezekano wa kukuambukiza uko low sana
Aisee! Nimeelewa kwanini Dini inakataza uzinzi..!
😂🤸Aya bhana
Tumia Condom!! Acha tabia mbaya
Tumia Condom!! Acha tabia mbaya
Au funga ndoa na mmoja
Hapo vyema! Nakueka kundi la watu wemaI always use a condom, no matter what. Nakishangaa wewe
Hapo vyema! Nakueka kundi la watu wema
Acha sisi wengine tuendelee kavukavu😂
Don't be disappointed, i took your adviceEnjoy, safari njema
Acha uoga kijana kamuaDemu umekutana nae bar, au umekutana nae kitaaa mmezuena kidogo tu unamla kavu ivi unajua background yake aisee mm bila ndomu sijanyi aisee ata kwa panga ,nyie wenzangu mnaujasiri Gani wakupiga kavu
Ahaaaa hayaaaaaAcha uoga kijana kamua
Sasa sio vizuri kivipi tena?Sio vizuri ujue
Mim jamaa nimemuelew vizur saaanaKwanini hii sentensi inapendwa sana
Mtu anaumwa ukimwambia walinde wengine anajibu "kujilinda ni jukumu lake sio langu"
Af huu mzigo upo juz nipo kituo x cha afya Kuna mwamb kaja na mke wake kupima kakuta wamewaka story za hapa na pale mke kakubal yey ndo kauleta ndani ya nyumba aseee mungu atusadieHapo vyema! Nakueka kundi la watu wema
Acha sisi wengine tuendelee kavukavu😂
Zamani nilikua najua ukikutwa na ngoma hautokula nyamaAf huu mzigo upo juz nipo kituo x cha afya Kuna mwamb kaja na mke wake kupima kakuta wamewaka story za hapa na pale mke kakubal yey ndo kauleta ndani ya nyumba aseee mungu atusadie
Uoni kama utamuambukiza mwenza wakoSasa sio vizuri kivipi tena?
Kimsing watu wengi weny HIV+ve wanataman wasiwe wenyew kwaiy wakija kwako usipomkumbusha kondom utapigwa kavuZamani nilikua najua ukikutwa na ngoma hautokula nyama
Kumbe wenye ngoma ndio wanaoongoza hiyo sekta