Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Tangu nimeanza kwichi kwichi,sijawahi kufanya bila Mpira,.naogopa Mimba kuliko hiyo Ngoma,

Kuna Mrembo nimekutana nae Zanzibar Mwezi Jana,Kaniambia Ana Maambukizi,kumgusa naogopa,,Kumuacha naona nitadhulumu nafsi,Mtoto yupo kama Amandla Stenberg
Nawaonea huruma sana sana sana mnaoamini mipira bila kujua aliyetengeneza HIV ndio kuleta suluhisho bandia la mipira. Ili kupanga uzazi at the same time. Maana HIV ilikusudia kufanya depopulation ila pia hiv ina dedline yake 🙂 asikiaye na afahamu.
 
Kama virusi vya ukimwi vinasababisha upungufu wa kinga iweje umuambukize asiye na upungufu wa kinga? Kuna ukweli uliojificha juu ya hili janga.Wanaoshi na vvu wengi hawajujui kuliko wale wanaojijua
 
Nimekumbuka ule wimbo wa mauzauza ghafla sijui kwann😅😅
 
Mwasilisha mada hauna virusi wala nini ila ni chombeza time kama ile ya radio one, lakini mtangazaji halali pamoja na kutubembeleza.
 
Aisee kweli shetani ni king'ang'anizi alitaka wote mfe ukimwi. Ninawajua watt wa pastor mmoja kkkt kabila mnyaturu singida hawakuzaliwa na hiv ila wawili wa kiume wameupatia pale mtaani wakiwa wakubwa. Ni shd kweli. Hapo ni kukata huo muunganiko.
 
Kama virusi vya ukimwi vinasababisha upungufu wa kinga iweje umuambukize asiye na upungufu wa kinga? Kuna ukweli uliojificha juu ya hili janga.Wanaoshi na vvu wengi hawajujui kuliko wale wanaojijua
Mmmhhhh
 
Mwasilisha mada hauna virusi wala nini ila ni chombeza time kama ile ya radio one, lakini mtangazaji halali pamoja na kutubembeleza.
Ni maoni yako mkuu, anyway jilinde na uwalinde uwapendao, AIDS kills
 
boss kuna watu wana aleji na matumizi ya mipira
Mipira ipo tofauti, tafuta aina gani ya mpira inayokufaa. Hilo suala la "aleji" linajulikana. Na kama unajiona huwezi kabisa kutumia mipira basi kuwa makini.
 
Tumieni ARV kwa uaminifu sana mtawasaidia watu wasiambukizwe kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…