Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kumbe vibonge na sie hatujasahaulika😍Hii siku ilikua na unyama mwingi sana
25.9
Ni tarehe ambayo nilijiunga JF miaka kadhaa nyuma na ni tarehe ya kuzaliwa mdogo wangu na ndio tarehe ya ndoa yangu[emoji91]View attachment 2522567
[emoji23][emoji23][emoji23].Kumbe vibonge na sie hatujasahaulika[emoji7]
Hizi kumbikumbi zilizoshindwa na ndoa baada ndio zinataka kuaminisha wengine kukataa ndoa. Shenzi kabisaComments zinatia moyo, hongereni sana kumbe ndoa ni nzuri hivo, wapotoshaji wa kataa ndoa ebu pitieni huu uzi ili mbadili misimamo yenu hiyo mibaya
Kweli dear Dunia hii inawanawake wema na wanaume wema pia na wengi naona wanaenjoy ndoazao walioolewa na wanaume waliowazid kidogo umri atlest miak 5 had 7 Hadi 10 wanajielewa sana sio km Hawa wa zama zetuComments zinatia moyo, hongereni sana kumbe ndoa ni nzuri hivo, wapotoshaji wa kataa ndoa ebu pitieni huu uzi ili mbadili misimamo yenu hiyo mibaya
Says a person, ambaye ndoa yake ilimshindaAngalizo: Mtoa mada umeomba wenzio mpeane uzoefu wa furaha ya ndoa, hapa unatapatapa kutetea utapeli, unafiki na ubatili wa ndoa. HAKUNA UZOEFU WA FURAHA, FURAHA HAIIHITAJI UZOEFU. Labda ungesema mpeane uzoefu wa kukabili utapeli wa ndoa.
Zingatia: Kama unataka furaha, kataa ndoa.
We endelea kukataa Ndoa utakapopatwa na maradhi mazito ukose huduma za Faragha..ndipo utakapojua Umuhimu wa Ndoa ikiwa too lateAcheni uongo wanawake,,, nyie kuweni wakweli kwamba " ndoa ni ajira ya kudumu kwa mwanamke"
Hongera kwa kupendwaHuyu mwanaume, kila siku iendayo kwa Mungu namuangalia nisijue nifanye lipi la ziada ili tuzidi kudumisha huu upendo. Natamani nifikie level za mambo anayonifanyia najiona kabisa sifit, na sio kuhusu hela.
He is the most loving human being I’ve ever known. Very caring. Kuna wanaume ni heaven sent jamani. Natamani nielezee kitabu ila acheni tu.
Yaani nimejikuta nakuwa dependent kwa uwepo wake I think this is a side effect. Kudekeza si kudekeza. Mungu niwekee baba naniii wangu.
Vijana wanaolea nyege ndio shida.Tuobe radhi wenye ndoa tafadhali
Hongera Madame S kwa kweli raha ya ndoa mpendane wote wawili na mheshimianetuliambiwa tuoe/kuolewa ili tupate utulivu wa nafsi, mimi ever since nimeolewa nikawa namwambia mume hivi tulichelewa wapi, ndoa yenye amani ujue na Mungu yupo, watu wanachukulia tu vitu juujuu, ukiiheshim ndoa ukaitumikia utayaona matunda yake,
There's never an experience for happiness. It's neither found in marriage as you claim.Says a person, ambaye ndoa yake ilimshinda
Shida vijana mnaolea nyege
Maybe your life. My marriage experience has been awesome.There's never an experience for happiness. It's neither found in marriage as you claim.
Be real, marriage is a means of tragic life destiny.
Unajifaidia minyama mwenyewe....mashallah!Hii siku ilikua na unyama mwingi sana
25.9
Ni tarehe ambayo nilijiunga JF miaka kadhaa nyuma na ni tarehe ya kuzaliwa mdogo wangu na ndio tarehe ya ndoa yangu[emoji91]View attachment 2522567
Shida ni kwamba watu mnaoa kwa pupa unakutana na binti bar siku hiyohiyo anaenda kukukatia mauno kama feni mbovu unaamua kuoa. Msome mtu ujue tabia zake ili hata mkianza kuishi pamoja muwe mnajuana angalau mapungufu ya kila mmoja. Sio uoe kwa sababu kakufurahisha kwenye sex, ndoa sio sex pekee, kama mwanaume bado una consider style za sex wakati wa kuoa basi hujawa matured. Ndoa ni zaidi ya hivyo na ukioa kwa vigezo vya kiuno hamuwezi kudumu matokeo yake utakuja kulalamika hapa na kuleta nyuzi za kuchukua ndoa.Angalizo: Mtoa mada umeomba wenzio mpeane uzoefu wa furaha ya ndoa, hapa unatapatapa kutetea utapeli, unafiki na ubatili wa ndoa. HAKUNA UZOEFU WA FURAHA, FURAHA HAIIHITAJI UZOEFU. Labda ungesema mpeane uzoefu wa kukabili utapeli wa ndoa.
Zingatia: Kama unataka furaha, kataa ndoa.