Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Uzi maalumu kwa wenye ndoa

Hii siku ilikua na unyama mwingi sana

25.9

Ni tarehe ambayo nilijiunga JF miaka kadhaa nyuma na ni tarehe ya kuzaliwa mdogo wangu na ndio tarehe ya ndoa yangu[emoji91]
Screenshot_20230215-195304.jpg
 
Njia sahihi ya kuishi na mwanamke first mwanaume awe na vision anaelekea wapi na anahitaji nini kufikia hiyo vision pia lazima uwe na tabia ya kupuuza matendo ya mwanamke na maneno yake coz lazima achallenge your vision.Ukiishi humo mwanamke ataona wewe ni Bora kuliko wote
 
Comments zinatia moyo, hongereni sana kumbe ndoa ni nzuri hivo, wapotoshaji wa kataa ndoa ebu pitieni huu uzi ili mbadili misimamo yenu hiyo mibaya
Kweli dear Dunia hii inawanawake wema na wanaume wema pia na wengi naona wanaenjoy ndoazao walioolewa na wanaume waliowazid kidogo umri atlest miak 5 had 7 Hadi 10 wanajielewa sana sio km Hawa wa zama zetu
 
Angalizo: Mtoa mada umeomba wenzio mpeane uzoefu wa furaha ya ndoa, hapa unatapatapa kutetea utapeli, unafiki na ubatili wa ndoa. HAKUNA UZOEFU WA FURAHA, FURAHA HAIIHITAJI UZOEFU. Labda ungesema mpeane uzoefu wa kukabili utapeli wa ndoa.
Zingatia: Kama unataka furaha, kataa ndoa.
 
Says a person, ambaye ndoa yake ilimshinda

Shida vijana mnaolea nyege
 
Acheni uongo wanawake,,, nyie kuweni wakweli kwamba " ndoa ni ajira ya kudumu kwa mwanamke"
We endelea kukataa Ndoa utakapopatwa na maradhi mazito ukose huduma za Faragha..ndipo utakapojua Umuhimu wa Ndoa ikiwa too late

#KUBALI NDOA
Olewa/Owa
 
Huyu mwanaume, kila siku iendayo kwa Mungu namuangalia nisijue nifanye lipi la ziada ili tuzidi kudumisha huu upendo. Natamani nifikie level za mambo anayonifanyia najiona kabisa sifit, na sio kuhusu hela.

He is the most loving human being I’ve ever known. Very caring. Kuna wanaume ni heaven sent jamani. Natamani nielezee kitabu ila acheni tu.

Yaani nimejikuta nakuwa dependent kwa uwepo wake I think this is a side effect. Kudekeza si kudekeza. Mungu niwekee baba naniii wangu.
Hongera kwa kupendwa
 
tuliambiwa tuoe/kuolewa ili tupate utulivu wa nafsi, mimi ever since nimeolewa nikawa namwambia mume hivi tulichelewa wapi, ndoa yenye amani ujue na Mungu yupo, watu wanachukulia tu vitu juujuu, ukiiheshim ndoa ukaitumikia utayaona matunda yake,
Hongera Madame S kwa kweli raha ya ndoa mpendane wote wawili na mheshimiane
 
Says a person, ambaye ndoa yake ilimshinda

Shida vijana mnaolea nyege
There's never an experience for happiness. It's neither found in marriage as you claim.
Be real, marriage is a means of tragic life destiny.
 
Angalizo: Mtoa mada umeomba wenzio mpeane uzoefu wa furaha ya ndoa, hapa unatapatapa kutetea utapeli, unafiki na ubatili wa ndoa. HAKUNA UZOEFU WA FURAHA, FURAHA HAIIHITAJI UZOEFU. Labda ungesema mpeane uzoefu wa kukabili utapeli wa ndoa.
Zingatia: Kama unataka furaha, kataa ndoa.
Shida ni kwamba watu mnaoa kwa pupa unakutana na binti bar siku hiyohiyo anaenda kukukatia mauno kama feni mbovu unaamua kuoa. Msome mtu ujue tabia zake ili hata mkianza kuishi pamoja muwe mnajuana angalau mapungufu ya kila mmoja. Sio uoe kwa sababu kakufurahisha kwenye sex, ndoa sio sex pekee, kama mwanaume bado una consider style za sex wakati wa kuoa basi hujawa matured. Ndoa ni zaidi ya hivyo na ukioa kwa vigezo vya kiuno hamuwezi kudumu matokeo yake utakuja kulalamika hapa na kuleta nyuzi za kuchukua ndoa.
 
Wanaofanya kampeni na kataa ndoa kama ni wanawake walioachwa au waliolelewa na single mother sina tatizo nao. Lakini kama we ni mwanaume au ni jinsia yoyote uliyelelewa na wazazi wawili halafu unashabikia kukataa ndoa yawezekana una tatizo kwenye viungo vya uzazi.
 
Back
Top Bottom