Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Sikupotea, nilikuwa offline kidogo kwa majukumu ya kikazi tu...now niposawa mkuu. ulipotelea wapi aiseee?
Nipo dar mkuuUko wapi
Karibu. ulimisiwa sana!Sikupotea, nilikuwa offline kidogo kwa majukumu ya kikazi tu...now nipo
Oh thanks best demiKaribu. ulimisiwa sana!
Mkuu kama hutojali nakuja PM kwa maongezi zaidiMkopo unapata ila dhamana unaweka nini? Na unaitaji kiasi gani?
Leseni ya kukopesha unayo Mkuu?Mkopo unapata ila dhamana unaweka nini? Na unaitaji kiasi gani?
Leseni ya kukopesha?Leseni ya kukopesha unayo Mkuu?
Yap MkuuLeseni ya kukopesha?
Muone bashite atakupatia fastaWakuu habari naulizia kampuni inayotoa mikopo kwa dhamana ya vyeti ni hivyo tu ahsante
Unakopesha hadi kiasi gn mkuu?Yap Mkuu
Nami npo inbox kwako mkuuSawa mkuu acha nije pm tuongee zaidi