Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Nenda Bank mkuu riba za mitaani ni kubwa sana na unaweza ukadhulumiwa mali zako ulizoweka dhamana... dunia haina huruma nowdays..

shida zako ni mtaji kwa wengine...kuwa mwangalifu sana
 
MKOPO KWA SASA MGUMU SANA HASA KWA WASIO NA KAZI MAALUMU
 
Hello,

Nahitaji mkopo wa kiasi cha tsh 1,000,000.00 (Milioni moja) wenye riba nafuu. Nina dhamana ya nyumba iliyopo Kitunda Dar es salaam. Tafadhali ni PM
 
Back
Top Bottom