Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Mkuu embu elewa taratibu za uandishi wa namba ina maana mimi nije huku kuomba mkopo wa 750 ..
Kuwa mpole na msitaarabu na ukubali makosa. Si kila mtu anaweza kuingia akilini mwako akaelewa ulitaka kumaanisha kitu gani. By the way unapokosilewa unatakiwa kuacknowledge na kuadmit makosa.
 
Mleta mada, ebu wacha ubishi kama Muha! Edit bandiko lako uandike vyema hizo number. Yaani unakuja JF kukopa Tsh 750?!!

Kingine nikupe taarifa: humu jf mostly utaambulia kebehi na matusi tu. Labda kama wewe ni mwanamke ndo waweza kupata msaada humu.

-Kaveli-
 
Sidhani kama kuna mtu atakubali kwa riba hiyo yaani miezi 4 urudishe 825,000 maana yake faida ni kama 75,000 tu ina maana kwa kila mwezi ni 18,750 kwa siku ni 625 tu

Unaweza kuwa na shida lkn unamvunja moyo hata mkopeshaji bora tu ungeomba usaidiwe sio kwa kukopeshwa ila ungemhakikishia mtoaji kuwa utairudisha kwa kumpa hiyo collateral
 
Sawa nimekuelewa, sasa unaweza kunikopesha nakuachia na hiyo collateral endapo ntashindwa kulipa... ila hakuna huo uwezekano wa kushindwa kulipa..
 
heshima yenu great thinker,

nahitaji kufahamu taasisi/mwenye mapenzi mema ambayo inatoa mkopo kwa masharti nafuu ... nahitaji capital $500 ya haraka ambayo nitarejesha ndani ya mwezi mmoja.
Natanguliza Shukrani kwako muungwana utakayeguswa na kuniongoza kupata hitaji langu na Mungu akubariki sana.
 
Hata mimi pua nashida kama yako nahitaji mkopo kama 200$ ambayo nitarejesha baada ya mwezi mmoja meenye mapenzinmema jamani anisaidie naenda kulipia fee ya chuo mimi ni mwanachuo Udsm my whatsap number MTU atakaejisikia kunisaidia 0678476053
 
Habari?
Natafuta Mkopo wa Tsh Milioni 3 riba isizidi asilimia 20% kwa mwaka.
Msaada tafadhali.
Asante.
 
Mmmh! Ngoja waje,mi nazijua sehemu zinazoanzia 22%
 
micro-finance entities zipo nyingi siku hizi ili mradi uwe na dhamana kama hati ya nyumba au kadi ya gari
 
Nenda saccos , ila kama unataka kwa haraka watu binafsi wanakopesha ila riba ni 20% kwa mwezi
Hiyo kwa mwezi ndo sitakuwa na uwezo nayo nilihitaji kwa mwaka ndo 20% Labda hiyo Saccoss samahani naweza pata wapi kama unazifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…