Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Tunakutana hapa kesho alfajiriNaomba pia katika maombi yanayoendelea tuwakumbuke wagonjwa wote.
Jambo jema kabisa imeandikwa muombeane Ninyi kwa Ninyi mana sala ya mtu mwenye haki yafaa sana akiomba kwa hakiKesho tutafanya maombi maalumu ya kumuombea ndugu yetu @Uishmen Ambaye Kwa sasa anaumwa baada ya kupata ajali .
Maombi yatafanyika Ahsubui Jumamosi
Tutakutana hapa kesho alfajiri kwa ajili ya kuomba rehema na toba pia tutamuombea na huyo mwenzetu aliyepata ajali
Tutamaliza wiki hili kwa maombi ya shukrani na kumuombea member mwenzetu wa muda mrefu humu JF aliyepata ajariOK tuombe kheri Mungu akituamsha salama tukapte kumuombea kheri ndugu yetu.
Tutamaliza wiki hili kwa maombi ya shukrani na kumuombea member mwenzetu wa muda mrefu humu JF aliyepata ajari
Tutaongozwa na Neno kutoka kitabu cha wagalatia
Wagalatia 5:14
Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.
"Zaburi 118: 17 sitakufa nami nitaishi na kuyasimulia matendo ya bwana "
Maombi haya ni maalumu kwa ndugu yetu Ushimen
Baba yetu tunakushukuru Kwa siku ya leo , tupo hapa katika kusanyiko hili kuomba neema yako ikawe juu yetu na nguvu yako ikayatawale maisha yetu.
Baba tunakuomba kampatie mtumishi wako Afya ya mwili damu na mifupa .
Sehemu yenye hapana ikawe ndio hakika ikiwa mtumishi wako ulimlimda dhidi ya umauti basi kamlinde dhidi ya maradhi yanayomsumbua .
Tunakuomba ukafinyike Nuru katika mtumishi wako yeye pamoja na familia yake.
"Mtumishi Ushimen amefanyika baraka Sana kwa watu wengi hivyo tusiache kumkubuka katika sala zetu pamoja na dua "
Mungu ni mwaminifu Sana atatenda na ametenda.
Amen Baba wa Mbinguni uyapokee maombi yetu"Zaburi 118: 17 sitakufa nami nitaishi na kuyasimulia matendo ya bwana "
Maombi haya ni maalumu kwa ndugu yetu Ushimen
Baba yetu tunakushukuru Kwa siku ya leo , tupo hapa katika kusanyiko hili kuomba neema yako ikawe juu yetu na nguvu yako ikayatawale maisha yetu.
Baba tunakuomba kampatie mtumishi wako Afya ya mwili damu na mifupa .
Sehemu yenye hapana ikawe ndio hakika ikiwa mtumishi wako ulimlimda dhidi ya umauti basi kamlinde dhidi ya maradhi yanayomsumbua .
Tunakuomba ukafinyike Nuru katika mtumishi wako yeye pamoja na familia yake.
"Mtumishi Ushimen amefanyika baraka Sana kwa watu wengi hivyo tusiache kumkubuka katika sala zetu pamoja na dua "
Mungu ni mwaminifu Sana atatenda na ametenda.
Siku ya Leo hii sikupata nafasi ya kuingia humu majukumu yalikuwa ni mengi Anaitwa nani jina halisi huyu Rafiki yetu