Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

Tusali.
Ee Mungu mwingi wa rehema, tunalitukuza jina lako kwa wema wako mkuu usioisha katika maisha yetu ya kila siku. Leo tunakuomba tupe kujua yatupasayo kutenda kwa wakati kama vile Yesu alivyosema kuwa "Laiti ungelijua yakupasayo kutenda ee Yerusalemu". Tunaomba Roho wa hekima aambatane nasi siku zote tupate kuisikia sauti yako katika mifumo ya familia, serikali, biashara, na maeneo yote uliyotuweka wewe mwenyewe.

Tukumbushe kuwa saa yoyote tunaweza toka katika nafasi tulizowekwa ikiwa tutakuwa na jeuri, majigambo, kujiinua na viburi vya kipepo. Tusiwe kama malkia Vashty alielewaga na madaraka na entittlement kiasi cha kwamba akajiona wa muhimu sana kuacha kutii sauti yako kupitia mume wake na mfalme wa Shushani ngomeni. Kiburi hutangulia anguko, na Vashty akang'olewa katika kiti chake na mfumo wa kimbingu, akapatikana mwingine wa kumreplace.

Tusaidie hasa sisi kina mama tupate kulitambua hili siku zote za maisha yetu ili tuwe wanyenyekevu chini yako ee Bwana kupitia waume zetu, watoto wetu, na kila mahali unapotuweka wewe. Nafasi yoyote utupayo, tupe kujua ni transitional na saa yoyote tunaweza kuondolewa na wewe ikiwa tutajiona keki. Basi tunaomba haya katika Jina la Yesu Kristo, we place our low egoz before you, exalt us in your due time. Amen. Thank you Jesus. We love you🙏🙏🙏
 
AMEN
 
Habari zenu Wapendwa tusisahau kukemea juu ya ndoto mbaya endapo utaota usiku ndoto hizi ni ishara mbaya amka kukemea zishindwe kwa damu ya Yesu

1. Ndoto ya kuonekana upo maeneo shule msingi au secondary wakati wewe ulishamaliza Hadi chuo

Hii ni ishara shetani anataka malengo yako yachelewe kuyafanikisha au ushindwe kabisa kwa maana umeshawahi kujiuliza kwanini unafanya kazi lakini haufanikiwi basi ni sababu ya ndoto hii

2.Ndoto za risasi au mabomu
Ni ishara shetani anataka kukupa kesi ufungwe ama anataka kukutengenezea ajali

3.Ndoto ya kuota unakula au unakunywa
Hii ni ishara kuwa maadui wanataka kukupandikizia magonjwa mtu yoyote anayeumwa aliota ndoto hii kabla ugonjwa haujampata

Ukiota ndoto kama hizi amka kuomba kemea kwa damu ya Yesu ukiota ndoto yoyote mbaya amka kukemea usipuuze adui huwa anakuwa anajiaandaa kukuangamiza Yale yanayokuja kutokea kwenye mwili yanakuwa ni matokeo tu shetani huwa aanzi kuangamiza mwili bali Roho yako kwanza ndio mwili unakuja kupata matokeo

Soma kushika isaya 54:17 na zaburi 91:1-6 ili kukupa ulinzi

Kama Kuna ndoto umeota na bado hauielewi amka kuomba muombe Roho Mtakatifu akusemeshe juu ya ndoto hiyo inamana gani utapata majibu
 
0768137881 what's up maombi, niunge huku mkuu
 
🙋‍♂️✍️🙏
 
Bwana Yesu wapendwa

Namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na pia kunipa kibali ili niweze kuzitangaza habari zake njema na shuhuda katika jukwaa hili

Leo hii Nimewaletea wimbo mzuri aa kusifu na wakuabudu kutoka Patrick kubuya Moyo wangu ni jambo zuri unakuwa unamkaribisha Roho Mtakatifu kwa kusikiliza wimbo wa kusifu na kuabudu kabla haujaanza kufanya maombi yako
 

Attachments

Amen
 
Wapendwa kumradhi Kwa changamoto ya siku mbili hizi maombi Yana vita sana kuanzia Leo nitaendelea Tena kutuma maombi. Nashukuru Kwa wote mlio endelea na maombi wapendwa zaidi sana tuombeane
 
Amen
 
Asante, Baba, kwa vile unavyoniongoza katika maombi. Nisaidie kuja kwako kwa shukrani kabla sijafanya jambo lolote. Acha shukrani ziwe msingi wa maisha yangu ya maombi. Leo ninaamua kuweka malalamiko kando na kuwa mwenye shukrani katika maombi......🙏
 
Ubarikiwe mwanamaombi
 
Amkeni katika maombi. Mstari wa kusimamia 2 nyakati 7:14 " ikiwa watu wangu, walioitwa Kwa jina langu, watajinyenyekeza na kuomba na kutafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya,n basi nitasikia Toka mbinguni na kuwasamehe dhambi Yao na kuiponya nchi Yao."
Asubuhi hii tunaalikwa na Baba kwenda mbele zake Kwa unyenyekevu na kuomba, Bwana atasikia kutoka mbinguni. Tafakari mstari huu Kwa utulivu Kisha tuingie katika maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…