Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

naombeni connection ya mtu anayeuza asali ambaye yupo tabora au mkoa wowote unaozalisha asali nahitaji asali ya jumla

0624 030723
 
Mnapatikana wapi
 
Magauni ya watoto wa umri gn, unauzaje jumla?
 
Umeshafanikiwaa??
 
Gari mbili za tani 3.5 box body zinakodishwa hesabu Tsh 65,000 per day.
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu, gari zinakodishwa kwa town trip na zinapatikana Dar es Salaam. Moja ina tani 3.5 aina ya TATA nyingine ina tani 3 aina ya Mitsubishi Canter. Gari zinafaa kwa shughuli mbalimbali kama kubebea soda, maji, gesi na bidhaa nyingine nyingi.

Hesabu kwa siku ni hiyo Tsh 65,000 Mafuta juu yako dereva wangu ila unamlipa wewe ingawa maongezi yapo.

Karibuni kukagua gari muda wowote.

Kwa mawasiliano zaidi karibu PM au Nipigie/SMS 0744183343.






Quote Reply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…