Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

naombeni connection ya mtu anayeuza asali ambaye yupo tabora au mkoa wowote unaozalisha asali nahitaji asali ya jumla

0624 030723
 
~ Connection ya soko LA maziwa...wapi au nani anawezasaidia kupata soko LA maziwa...kwa mahitaji makubwa na ya kati...mahotelini,migahawani,maofisini,kwenye sherehe n.k,tunasambaza kuanzia Lita 10-100,200,nakuendelea

Bei zetu ni,
Maziwa fresh: Lita 1 sh 1800/=
Maziwa mtindi :Lita 1 sh 2000/=
Tupo dar es salaam.
Ahsante.
Mnapatikana wapi
 
1594580248905.png
 
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
Magauni ya watoto wa umri gn, unauzaje jumla?
 
Habari
Mimi nahitaji mtu ambae ana uzoefu/uwezo mkubwa kwenye computer softwares na hardware kiasi chake sababu nimefungua ofisi na inahitaji mtu wa kuisimamia na kupiga kazi.
Ofisi ni mpya kabisa na ipo mazingira mazuri ya kibiashara.
Ofisi inahsuka na kutatua changamoto za wateja zinahusu computer zao au mahitaji mengine ynayoweza tatuliwa na mtu wa IT
Awe anajua sana softwares na hardware za computer, graphics designs, web designs etc
Mshahara tutajadiliana.
Awe tayari kufanya kazi mkoa wa Tabora
Accomodation na chakula vyote kwangu kwa kuanzia mpk utakapoona inafaa kuhamia kwako.
Ni-PM kama unaweza au unanfahamu mtu mwenye sifa hizo.
NB: Vyeti sio issue kabisa, tunachotaka ni uwezo wa mtu. Be ready for a stressed interview, mtu ambae sio hapo hawezi katiza.
Asante
Umeshafanikiwaa??
 
Gari mbili za tani 3.5 box body zinakodishwa hesabu Tsh 65,000 per day.
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu, gari zinakodishwa kwa town trip na zinapatikana Dar es Salaam. Moja ina tani 3.5 aina ya TATA nyingine ina tani 3 aina ya Mitsubishi Canter. Gari zinafaa kwa shughuli mbalimbali kama kubebea soda, maji, gesi na bidhaa nyingine nyingi.

Hesabu kwa siku ni hiyo Tsh 65,000 Mafuta juu yako dereva wangu ila unamlipa wewe ingawa maongezi yapo.

Karibuni kukagua gari muda wowote.

Kwa mawasiliano zaidi karibu PM au Nipigie/SMS 0744183343.


IMG-20200324-100415.jpg


Screenshot-20200703-142459-2.png


Quote Reply
 
Back
Top Bottom