Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI


na zijazo watasem kuanzia 2016 automatic dogo atakua nje ya reli
 
Inauma kinouma Biology chemistry zimekuwa kama history soko gumu. Nimekata tamaa ase.
 
Maisha ni safari ....mtu hajifunzi maisha vyuoni...bali huku mitaani.....binafsi nimeshasahau kwamba nina masters....ninafanya shughuli zote...iwe udalali wa vyumba na majumba ,kuokota vyuma chakavu ,kuvua ,kubeba mizigo ya kuhamisha watu katika majumba yao na nyingine nyingi za nguvu.....ili nipate ugali wa wanangu....afrika omba uwe na nguvu za kiwiliwili na akili.....ukikosa cha kutumia akili(elimu) basi nguvu za kiwiliwili(blue collar jobs) zinakutoa.....

Msikate tamaa wana....mwakani hwenda mtapata aaaamin[emoji120]
 
Kudos!!

Sio wote wenye master's degree wenye uwezo wa kufanya unachokifanya. Wengi vile vyeti vinawalevya na kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Nilipomaliza elimu kama ya kwako niliingia mtaani kuza mitumba. Ilikuwa changamoto ila sikuwa na namna. Haya maisha hayatabiriki.

Nitaendelea kumshauri dogo asikate tamaa.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…