The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Shukrani sana ila anayekuwa tagged sijawahi kumuona kabisa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana ila anayekuwa tagged sijawahi kumuona kabisa 😂
leo ni birthday yake Evelyn Salt angetumia fursa hii kuku-blessNipo nasubiria Evelyn Salt aniunganishe na shangazi mmoja wa JF 😅😅😅. Haiwezekani Nina miaka 10 jukwaani alaf sina hata shangazi mmoja wa kuzugia toka humu. Salt fanya kweli
Popote nafika, wewe nipigie pasi tu 😅😅Uko wapiiii 😹
Evelyn Salt nakala ifike kwenye jalada lako 😅leo na birthday yake Evelyn Salt angetumia fursa hii kuku-bless
😂😂😂😂😂😂Maua yangu yaende kwa bro Kiranga tukiacha chit chat, mara nyingi nikihitaji afya ya ubongo lazima nimpitie kiranga.
Huyu jamaa ni genius.
Ana madini sana.
Mwingine babuu Grahams huyu hata nimtanie vipi hajawahi kukasirika zaidi anaishia kucheka 😹😹
Na bro wangu Gee Glenn tukiondoa ukorofi wangu ila bado hajawahi kunichukia.!!
Yupo dada yangu ananipenda mpk najihisi mimi ni lastborn wao Joannah
Yupo uduguu wangu cocastic huyu naye ana kitu atafika mbali.!!
Nkamu wangu Saint Anne 😂😂😂😂
Hapa kwanza imebidi ncheke au basi.
Wizo BICHWA KOMWE - huyu akianza kunitag mpk najuta hata akitukana watu ananitag 😹
Dogo langu kibuyu Deleted01 huyu siku nikifa ndo atawapa taarifa
Mwisho wana jf wote nawapenda hata km sijakutag ila eleweni nawapenda 😍😍😍
Huyo mliyetaka nimtag, mtag wewe 😂😂😂
Nkamu tucheke tyuu.!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pokea simu 😹 mshangazi akusalimieEvelyn Salt nakala ifike kwenye jalada lako 😅
Simu ninayo mkononi, nasubiria kupigiwa nipokee 😅Pokea simu 😹 mshangazi akusalimie
Nkamu sitacomment chochoteNkamu tucheke tyuu.!! 😂😂😂😂😂
Usicomment chochote puliiizzz
😂😂😂😂 HatareeeeeNkamu sitacomment chochote
Ila akhsante tu kwa kuwa sehemu ya furaha yangu
I'd yako ni kama nimeweka comedy,yaani toka nakujua humu mimi ni kucheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
💐💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Ngoja nijitagi mwenyewe kama ishara ya kujikubali. Hance MtanashatiKuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda.
Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo.
Kuna watu husema wamekua addicted na JF.
Hii yote ni kwasababu ya mchango wa kila mmoja huku, na ndio kinachofanya pawe sehemu ya kuvutia na kusaidia wengi pia.
Bila kusahau kuwa huku pamekua sehemu ya Burudani, kukutana na watu kuunda connections na kuondoa stress mbalimbali.
Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa maua kwa ID mbali mbali humu.
I-tag ID kabisa ukiitoa kichwani mwako bila ku angalia mahali, umpe maua yake kabisaa.
Binafsi kwangu ni wengi ila saivi nitampa maua yake
DR Mambo Jambo kwenye masuala mazima ya afya na kuonyesha ukomavu mkubwa wa akili.
raraa reree huyu kila mmoja anamuona hadi tuna wasiwasi nae, au ni bot ?
Mimi nimeanza na hawa maana ni wengi na siwezi kuwamaliza wote...
Sawa ngoja nipunguze kuwapiga spana sasa halafu wanafanya nikumic wakinipiga banAsante naona wamekuachia sasa, punguza spana hawa vitukuu wa nyerere hawasikii
AsanteeeSawa ngoja nipunguze kuwapiga spana sasa halafu wanafanya nikumic wakinipiga ban
Njoo PM nikukumbatiemoAsanteee