Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hibiscus Tea au Onion Tea, au beetroot juice/tea, au Green tea ya kitunguu saumu, tangawizi, green apple, mboga yoyote fungu moja, turmeric/manjano kiasi..... Any of these..... Rekebisha mlo wako, acha kupikia mafuta ya mbegu.
Anatumiaje, anakunywa mara ngapi kwa siku? Jr atumie kimojawapo au achanganye vyite kwa pamoja?
 
Zi
zinapatikana wapi, na zinaitwaje sokoni. Kwa Dar Kisutu au kariakoo zipo?
 
NYUMBA unayo ishi Kuna mende Panya vishindo juu ya Dari milio ya Panya usku kucha Ndugu yangu Kuna mende wengine siyo mende Nakuna Panya wengine siyo Panya...Kama wanakusumbua sana Fanya Chukua karafuu Asali Maganda ya vituu swaumu na vitunguu maji Washa jiko la mkaa choma ndan kwa Manuizi utakuja kunishukuru Maana wengine Hela Azikai ndani kwa kuzarau vitu kama hvyo ugomvi ndan pia kumbe viumbe wanafanya yao Leo tuishie hapa.
 
Unachoma kwa pamoja au unachoma moja moja?
 
SUPER DOSE 2

.- Prof Malebo: Wataalamu dadavueni mchanganyiko hapo chini unatibu ugonjwa gani?
1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm
2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana) 500gm
3. Unga wa mizizi ya Mjafari (Zanthoxylum chalybeum) 1000gm

Matumizi
Gram tano za unga katika uji mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni).

Formula hiyo inategemea na muandaaji aliandaa kwa makusudia yapi.Kikubwa hapo kuna dose zifuatazo:

1. Vidonda vya tumbo
2. Uvimbe mwilini
3. Presha ya kupanda
4. Presha ya kushuka
5. Matatizo ya moyo Kwa ujumla- moyo kutanuka au moyo mpana
 
Duh.....
 
Ahahahahaaaa dah... noted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…