Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Asante sana huo mti ni mkomamanga au ni mti gani? Maana mkomamanga ulikuwepo katika bustani ya eden
 
Tumia chetezo
 
Anayatumia kunywa, kupaka au kufanyaje na kwa muda gani?
Kunywa mkuu vijiko vikubwa viwili kwa siku saba / ni dawa kubwa mno lakini na inap onyesha kwa 90% inakwenda ku soothes na kulegeza system nzima endapo kama ni mgonjwa wa muda mrefu aendelee kutumia
 
Mnataka ibane tuumie???😄😄😄
 
★Ukikwamwa na mfupa wa samaki, chukua majani ya mbigiri, yafikiche kidogo kisha kuwa kama unayapaka kwenye koo kushusha chini kama vile unauamulisha mfupa ushuke.
Fanya hivo halafu kunywa maji, kwa uwezo wa Mnyazi Mungu mfupa utashuka.

★Uking'atwa na nyoka, kunywa mkojo wa binadamu, wako au wa mwingine. Inasaidia sumu isisambae.
 
nitashukuru sana mkuu. naomba nipate hiyo tiba ase. nasubiri mrejesho kwa hamu.
 
Hiv no Mwenyezi Mungu ama Mnyazi Mungu?
 
muwahi kumtengezea kabla hujawekewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…