Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hiyo miti inapatikana popote ikiwa imechakatwa lakini uwe unaijua vizuri au muuzaji awe mwaminifu maana anaweza kukuuzia chochote ilimradi apate hela.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Shida inaanzia hapo! Kuna dawa nimepata leo ngoja nitumie nione.

Napata hofu sana kama vile Israel hayupo mbali! Maana kuna watu kadhaa ninaowafahamu wameondoshwa na hii dude wakifanyiwa operation, kama masihara tu!
 
 
Dokta tupe faida za kula kenge niliwahi kusikia ukila mdudu yule maradhi hya ya kawaida utayasikia tu je ni kweli?
 
Cactus na faida zake:-
°Ukikamulia kwenye ukucha ulioharibika unapona.
°Ukiupanda nyumbani kwako fahamu mchawi hawezi kupita eneo hilo
°Mti huu unatabia kiasili kuzuia radi katika eneo husika ulipopandwa.
Unatumia mara ngapi hii?
 
Jinsi ya kutumia
 
Mkuu, Mtahadharishe ina kiwango kikubwa cha SUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…