UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Ngoja nikae hapa nje ya kumi na nane nisubirie mizagao kama asemavyo ally mayai tembele. Kuna mmoja atajichanganya tuu 🀣🀣🀣🀣🀣
Kabisa Mzab ila ndio ikishatokea uishie kuoa sasa na sio mambo ya kula mb*susu na kusepa. πŸ˜€
 
Wasimbe maaana yake nini?
Huo ni msimiati wa KIJITA ukiwa na maana ya mwanamke ambaye kafikisha umri wa kuolewa ama kavuka umri wa usichana lkn hajaolewa na pengine amezaa kabla ya kuolewa.

Yaani hana mme maalumu ama hana mme halali.
Msimbe ni burudani kwa wanaume wote.
Hata akiwa ni mhudumu wa kuuza pombe naye huitwa MSIMBE kwa maana kwamba atabebwa na mwanaume yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…