UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Wasimbe maaana yake nini?
Huo ni msimiati wa KIJITA ukiwa na maana ya mwanamke ambaye kafikisha umri wa kuolewa ama kavuka umri wa usichana lkn hajaolewa na pengine amezaa kabla ya kuolewa.

Yaani hana mme maalumu ama hana mme halali.
Msimbe ni burudani kwa wanaume wote.
Hata akiwa ni mhudumu wa kuuza pombe naye huitwa MSIMBE kwa maana kwamba atabebwa na mwanaume yeyote.
 
Back
Top Bottom