Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hapa Umetusaidia Sisi Kware Tunaopenda Wanawake 30+.
Wakikusanyika Usisahau Nitag Nijipatie Mrembo.
Wakikusanyika Usisahau Nitag Nijipatie Mrembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa nani atamsaidia mtoto homework 🙄WanakaLibishwa eeh? Bas sawa
Wasimbe maaana yake nini?
Sawa mkuu tuko hapa kuwapigania wamama na wabibi wenye 30+ siku moja waje wajionee raha ya ndoa wanayofaidi wenzaoHapa Umetusaidia Sisi Kware Tunaopenda Wanawake 30+.
Wakikusanyika Usisahau Nitag Nijipatie Mrembo.
Huu uzi utamuondolea Unique Flower stress maana wanaume walio serious na ndoa kama wote wanaranda randa humuKuna huyu bibi kizee anaitwa Unique Flower ana stress za mabwana alotembea nao wakamuacha
Karibu au tayari umeshaolewa?Sa nani atamsaidia mtoto homework 🙄
Bado bana, nikonekti basi na mtu yeyote kabila lolote umri wowote yani ilimradi mtu tuKaribu au tayari umeshaolewa?
Single maza hapanaKuna huyu Bi mariam5 yuko love connect anatafuta mume CV yake ana miaka 33 na single maza wa mtoto mmoja tu
Mume anatafutwa
Habari zenu wana Jf, Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo; Umri : 34 - 40 Dini : Mkristo Elimu : Awe na Digrii na kuendelea Awe ameajiriwa Serikalini au Private Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM ASIWE MCHAGA[emoji2] Akiwa na watoto sawa ila...www.jamiiforums.com
Ulipoteaga wapi wewee?Nasubiria huo wa single women association
Mama yakeSa nani atamsaidia mtoto homework 🙄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itajulikana mbele ya safari. Kikubwa umepata mumeSa nani atamsaidia mtoto homework [emoji849]
Mimi mbona nipo sana tu na wewe nakuona kila sikuUlipoteaga wapi wewee?
Wanawake na wanaume, muhimu mpitie uzi huu, mjionee wakishua wanatowaje mawazo:Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.
Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi
Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.
Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.
Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.
Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.
Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.
Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.
Asanteni sana, nawasilisha.
Watakuja au anza na da mauaSingle maza hapana
This applies to men only, women's life begins at 18-25Life begins @ 40. Calm yourselves down single ladies.