eldora
Senior Member
- Feb 4, 2024
- 129
- 490
Na ambaye hajaolewa kabisa na alishazaa na muda ushamtupa mkono hukoo ashakuwa msubhati anaitwaje?hapana, Msimbe ni mwanamke alieachika/aliezalia nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ambaye hajaolewa kabisa na alishazaa na muda ushamtupa mkono hukoo ashakuwa msubhati anaitwaje?hapana, Msimbe ni mwanamke alieachika/aliezalia nyumbani
NdungayembeNa ambaye hajaolewa kabisa na alishazaa na muda ushamtupa mkono hukoo ashakuwa msubhati anaitwaje?
nijuavyo mimi, kitendo cha kuwa na mtoto alafu hana mume ndo kinampa id ya "msimbe"Na ambaye hajaolewa kabisa na alishazaa na muda ushamtupa mkono hukoo ashakuwa msubhati anaitwaje?
😂😂😂 daaahNaona wana banyeta mme decode😂😀
Katibu Kama katibu🤣🤣😂😂😂 daaah
usiwaumize hao dada zetu, unawatonesha kidonda. kiukweli, hakuna mwanamke hata kama angekuwa amekuwa mtembezi kwa wanaume wengi, asiyependa kuolewa. wachache sana hawataki kuolewa na hao wana mapepo. wazazi pia tunapenda mabinti zetu waolewe, tunapenda dada zetu waolewe, ili wapate ndoa, ni heshima, kuchelewa kuolewa ni ajali tu kazini inayoweza kumpata mtu yeyote, ni kama ajali ya ugonjwa tu au ajali barabarani, hakuna anayependa ila inatokea inamkuta mtu, wanahitaji faraja, wanahitaji kutiwa moyo na kupewa matumaini, sio kuvunjwa moyo au kuwasema. kama una mabinti tema mate chini, waombee hao dada zetu kuliko kuwasimanga. tena most of them wamepoteza muda kwenye masomo wakitafuta pa kujishikiza.Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.
Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi
Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.
Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.
Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.
Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.
Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.
Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.
Asanteni sana, nawasilisha.
🤣🤣🤣 ili mradi anapumua, Daah!!Bado bana, nikonekti basi na mtu yeyote kabila lolote umri wowote yani ilimradi mtu tu
😂 Huu mtegobinti wa Kichaga huyo, an mtoto mmoja.. vp nikuunganishe?
YB: 1996View attachment 2902925
Kasome vizuri uzi lengo la thread hakuna anayesimangwausiwaumize hao dada zetu, unawatonesha kidonda. kiukweli, hakuna mwanamke hata kama angekuwa amekuwa mtembezi kwa wanaume wengi, asiyependa kuolewa. wachache sana hawataki kuolewa na hao wana mapepo. wazazi pia tunapenda mabinti zetu waolewe, tunapenda dada zetu waolewe, ili wapate ndoa, ni heshima, kuchelewa kuolewa ni ajali tu kazini inayoweza kumpata mtu yeyote, ni kama ajali ya ugonjwa tu au ajali barabarani, hakuna anayependa ila inatokea inamkuta mtu, wanahitaji faraja, wanahitaji kutiwa moyo na kupewa matumaini, sio kuvunjwa moyo au kuwasema. kama una mabinti tema mate chini, waombee hao dada zetu kuliko kuwasimanga. tena most of them wamepoteza muda kwenye masomo wakitafuta pa kujishikiza.
Aisee😔"Wasimbe" imekaa kinamna flani hivi
Kwani ndoa ni nini? Unakosa hizo huduma ukiwa uko?Kama nina uwezo wa kutafuta pesa na kupata dudu anytime ndoa itakuwa na umuhimu gani sasa?
Unasema hivyo kwa sababu tayari uko kwenye ndoaKama nina uwezo wa kutafuta pesa na kupata dudu anytime ndoa itakuwa na umuhimu gani sasa?
[emoji3][emoji3][emoji3]Sa nani atamsaidia mtoto homework [emoji849]
Hivi mkuu ulishapata bwana?Aisee😔
Ndo ujue kwamba na huku kuna stress za kutoshaUnasema hivyo kwa sababu tayari uko kwenye ndoa
Huduma zipi ambazo asiye kwenye ndoa hawezi kuzipata?Kwani ndoa ni nini? Unakosa hizo huduma ukiwa uko?