Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wenzako wanaomba hata wawekwe ndani sogeza tuishiNdo ujue kwamba na huku kuna stress za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wanaomba hata wawekwe ndani sogeza tuishiNdo ujue kwamba na huku kuna stress za kutosha
Mbona hamsemi huwa wanapata nini zaidi ya ambao hawajaolewa?Wenzako wanaomba hata wawekwe ndani sogeza tuishi
Umenichekesha sanaNajua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men.
Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi
Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni ushahidi tosha.
Mnatamani sana ndoa na mwanamume yeyote ili mradi awasitiri. Bahati mbaya ambayo wengi mnakutana nayo mnaahidiwa ndoa mnaishiwa kupigwa mashine hamuolewi, poleni najua jinsi inawaumuza hiyo hali.
Soko lenu la kuolewa limekuwa gumu sana. Kwanza niwape pole, nimeamua kuandaa huu uzi ili mkutane na kufarijiana na kupeana mbinu za kuolewa au jinsi ya kuishi bila ndoa.
Na sisi wanaume tutakuwa bega kwa bega nanyi kuona tunawasaidiaje.
Mwaka huu tumewaongeza wanawake waliozaliwa 1997 kwenye kundi la wasimbe.
Kwa wale ambao ndoa imeshindikana au itashindikana kabisa nitawaletea uzi wenu maalumu utakaokuwa na heading single women association leo tuanze na walio frustrated kwa kutoolewa kwanza.
Asanteni sana, nawasilisha.
Njoo kwanguBado bana, nikonekti basi na mtu yeyote kabila lolote umri wowote yani ilimradi mtu tu
Dooh!Jmani mjitokeze warembo wa 27+ tuwaoe msijifiche.
Sio kila ndoto inatimia. Hao tall dark handsome and rich ndio mlishawalosa. Tumebakia wakina mzabzab njooni tulipeane faraja
Ahsante kwa muongozo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]*****
marriage is not an achievement
Kama unajua maana ya ndoa usingeuliza hili swaliMbona hamsemi huwa wanapata nini zaidi ya ambao hawajaolewa?
Mimi hapa kuja inbox faster pleaseNionyeshe mmoja mkuu. 2024 nataka nitoke kundi la masimango [emoji16][emoji16]
Dah umempa umeme fasterMbona unawaita kwa Kizungu ati Singo mazas, sema tu kwa kiswahili "Malaya" au unakusudia kuwatia moyo na kuwafariji?
Kuna dem tukiwa Olevel alikua mrembo kias cha kutotaka kufuata taratibu za shule kwani aliitwa Mchina,
Mwaka juz nakutana nae kachoka, jioni napewa namba na madogo ati fulani kasema uje umtafute.
Namtafuta anaanza kuniuliza kwanini yeye kila akipata mwanaume akijua ana watoto wawili anaachwa? Nikamjibu ni kwa sababu katika umalaya wako ulifanikiwa kutunukiwa vyeti viwili na vyuo tofauti tofauti hata mimi ningekuacha.
Nilimjibu vile kuokoa muda maana niliona anataka kunibless laana tu nami nimpe cheti cha 3.
@Unique Flower Nakutafuta.Tia voko mtoto wa kimeru akuelewe
Hamna kitu. Ndoa imewekwa kujenga familia bora basi. Mengine yote yanapatikana hata bila ndoa.Kama unajua maana ya ndoa usingeuliza hili swali
Kwa mwanamke ndoa ni ulinziHamna kitu. Ndoa imewekwa kujenga familia bora basi. Mengine yote yanapatikana hata bila ndoa.
Hapa Umetusaidia Sisi Kware Tunaopenda Wanawake 30+.
Wakikusanyika Usisahau Nitag Nijipatie Mrembo.
Ulimzi upi mbona hatuoni wakilindwa?.fafanuaKwa mwanamke ndoa ni ulinzi
Kuhudumiwa kama mke, mirathi mume anapokufa, na utapeli mwingine wa ndoa mnaowafanyia waume zenuUlimzi upi mbona hatuoni wakilindwa?.fafanua
Wanastahili maana wengine wanapigika wanakuwa wafanyakazi kwenye ndoa. Huo ndo mshahara wao.Kuhudumiwa kama mke, mirathi mume anapokufa, na utapeli mwingine wa ndoa mnaowafanyia waume zenu
Ndio maana nikasema ndoa ni ulinzi kwa mwanamkeWanastahili maana wengine wanapigika wanakuwa wafanyakazi kwenye ndoa. Huo ndo mshahara wao.