Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila watu wa Jf akili zenu mnazijua wenyewe.. uzi gani huu Sasa[emoji849]?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ila watu wa Jf akili zenu mnazijua wenyewe.. uzi gani huu Sasa[emoji849]?
Sasa ulitaka na wewe uzijue ili zikusaidie nini mkuu??

Umeufungua wanini?Nenda jukwaa la siasa kama vipi..
 
Sasa baada ya kujichanganya na hao totoz vijukuu vya shetwaan utakuwa na pesa kweli za kufungia mwaka?
Ushaanza ushoroba Sasa, life is too short achana na maisha yangu mtoto wa kufikia wa popoma weye.
 
Kuna raia kagongwa na gari la jeshi muda huu hapa Tazara DSM. Serikali iwatizame upya hawa madereva wake wasiofuata utaratibu na matumizi ya barabara.
 
Kuna raia kagongwa na gari la jeshi muda huu hapa Tazara DSM. Serikali iwatizame upya hawa madereva wake wasiofuata utaratibu na matumizi ya barabara.
Hao jamaa wanaua raia halafu hawana hata hofu.
 
Wewe kaka sniper huwa nakuelewa sana mwenzio nikiona comment yako tu hoi.
 
Huu uzi ni kama memes tu yaan uzi wa vichekesho kabisa daah! watu nao hawajielewi yaan mtu anajijibu mwenyewe
 
Back
Top Bottom