Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Huwezi mzuia mtu kuexpress feelings zakeUpo sawa mkuu...
Lakini wewe unapata faida gani ya kuja kumuandika x na ukamsifia hapa wakati haujui kwasasa anaishi maisha ya ainagani na nani na wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi mzuia mtu kuexpress feelings zakeUpo sawa mkuu...
Lakini wewe unapata faida gani ya kuja kumuandika x na ukamsifia hapa wakati haujui kwasasa anaishi maisha ya ainagani na nani na wapi??
Kibinadamu lazima utaumia kidogo lakini si kiasi cha kuitisha vikao. Huyo mke ana control gani kwa kile alichoandika huyo X?Mkuu, ebu vaa kiatu kwamba wewe ndio mume. Je ungeweza kulibeba hili?? Ama unataka kufurahisha tu watu hapa
Ndio maana kuna mdau kanukuu mstari wa Biblia, haya mambo ni kawaida kama ulimkuta hana bikra.Sawa mkuu, what if alieandikwa hapa ni mama yako ama dada yako ama mke wako??
tunaomba refference ya huo uzi kwa kutumia codesSasa mtu unasifia mke wa mtu bila kitumia codes
Elewa hayo yalifanyika kabla huenda hata hajafikilia kuwa atamuoa. Kwahiyo nakazia kabisa huyo jamaa ni fala.Mkuu, ebu vaa kiatu kwamba wewe ndio mume. Je ungeweza kulibeba hili?? Ama unataka kufurahisha tu watu hapa
Watoto washakua wengi humu.mwanaume hawez kufanya kitu km hichoHalafu weekend hii wanaume walicharuka kuandika majina halisi na mahali mtu alikuwa Anaishi,Kama ule Uzi wa Anastasia sijui aneth,sio vizuri jamani mjifunze kuwa na nidhamu na Maisha ya wenzenu.
Hii ni mbaya sana mkuu, maana mleta uzi hawezi jua huyo mwanamama kwasasa anaishi maisha ya aina gani.Halafu weekend hii wanaume walicharuka kuandika majina halisi na mahali mtu alikuwa Anaishi,Kama ule Uzi wa Anastasia sijui aneth,sio vizuri jamani mjifunze kuwa na nidhamu na Maisha ya wenzenu.
Mbona hujaniita 😂😂nilisema haya ni mapepo na majini yanywa damu yani tumeshaachana halafu ulete hizi shobo dundo,, ni kuleteana mikosi tu😂😂😂😂 hatari
Dahhhh....Kibinadamu lazima utaumia kidogo lakini si kiasi cha kuitisha vikao. Huyo mke ana control gani kwa kile alichoandika huyo X? Je kilichoandikwa kina ishara yeyote kuwa kilifanyika ikiwa huyo mke keshaolewa tayari? Na kuna baadhi ya mambo inabidi ukubaliane nayo pale tu unapogundua umeoa mwanamke ambae si bikra, maana ni wazi ana historia huyo unless aliitoa bikra na vidole.
Kitendo cha kuitisha vikao tayari anamdhalilisha mkewe. Hata kwa wale ambao hawakuona huo uzi washajua ni jinsi gani mkewe ni 'mtamu'. Hapo anahamasisha wakware watake kujaribu baina ya hao waliotwa kusuluhisha. Utastaajabu jinsi gani mizee mingine haina adabu.
Wala hajazingua jamaa ameeelezea hisia zake tu na pengine hajui hizo habari za kuweka codeHapa ndio tumemaliza usuluhishi.
Kimsingi dada yule hana kosa kwasasa, lakini jamaa aliekuja kuandika humu bila kutumia codes ndio kazingua.