Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siamini. Narudia tena, siamini.View attachment 2176532
Yote yameanzia hapo
Uzi wenyewe uko wapi?Mimi siamini. Narudia tena, siamini.
Ujinga umeanzia kwa mtoa mada kumsifia mwanamke aliyeachana naye. Kwanini ukumbuke kitu ukichokikataa awali? Angekuwa kweli ana mhitaji si angemwoa? Jinga lile.
Ebu nitagChangamsha tu macho mkuu...
Uzi bado nauona unapandishwa kama kawaida..😜
Mazoea na mtu wa kuitwa ex, hizo ni shobo dundo,🤣🤣🤣🤣🤣Nilicomment nikiwa busy..mambo yameahajua mengi humu wanandoa wameanza paraganyika kwa ujinga wa maex
Cha kale hakinuki wivu na vilivyopita ???Huyo member mtiifu naye hajielewi tu.
Sisi tuko kwenye ndoa na tunasimuliana habari za ma X zetu na maisha yanasonga sembuse mambo ya mtandaoni!
Kama angekuwa bado anakutumia hapo sawa...
Ila mambo ya kale?
Mwambie aache upuuzi
Upo sahihi mkuu, maana hilu halijakukuta na pengine hapo ndipo mwisho na ukomo wa ufahamu wako.
Hayawezi nikuta ndiomaana nilisha kataaa kuoa...😜Kwahyo Mkuu unaamini kwamba nikiona mtu anamsifia Ex wake ambaye ni mke wangu wa sasa humu natakiwa ku react kama huyo ndugu yako???? na unaona hio reaction kwa Mwanaume ni sahihi kabisa...
Yangekukuta wewe unge react the sama kama huyo mwamba kwa wife wako....??
Hayo ndio matatizo ya kuchukua maneno nusu nusu .View attachment 2176532
Yote yameanzia hapo
Hayo ndio matatizo ya kuchukua maneno nusu nusu .
Ukisoma mlango mzima wa 21 utaona kuwa hayo yalikuwa maelekezo kwa kuhani aoe mke wa namna gani.
Na sio mtu wa kawaida.
Huyo Mwanaume wakukaa kutaka kujua uchafu wako wa nyuma ana moyo??Huyo member mtiifu naye hajielewi tu.
Sisi tuko kwenye ndoa na tunasimuliana habari za ma X zetu na maisha yanasonga sembuse mambo ya mtandaoni!
Kama angekuwa bado anakutumia hapo sawa...
Ila mambo ya kale?
Mwambie aache upuuzi
Hizo hasira laZma jamaa aliandka kapewa haramu nini??Na hapa ndipo hasa panapo muumiza jamaa, sidhani kama ni swala la ujinga ama werevu.
Wanaume wengi huwa hunawaza tu jinsi jamaa alivyokua anamkunja na venye alikua anapeana
Mkuu, kuoa bikra haikuhakikishii kwamba hauwezi salitiwa.Haijalishi ndugu kuoa bikra ni salama zaidi kuliko kuoa asiye bikra.
Kwanza unajiamini popote unapokwenda unajua kabisa kabisa hakuna makoloni
Chance za kusalitiwa ni asilimia ndogo sana kuliko asiye bikra