Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamepatia sanaTumeisha tumeishaaaView attachment 2176647
Kabisa hawafanyi vizuri,huwa najihisi hivi siku nikijikut nimeandikwa humu nafanyaje?Hii ni mbaya sana mkuu, maana mleta uzi hawezi jua huyo mwanamama kwasasa anaishi maisha ya ainagani.
Pia wakaka wanapswa kukubali kwamba maisha yanabadilika pale wanapo achana na x wao
Mkuu haya mambo usichukulie poa, ukweli ni kwamba hakuna mwanaume mjanja kwenye hili bali ni kwamaombi na uwezo wa Mungu tuKama vip wapigane tu unaoa vip mwanamke ana ma-ex kibao kama sio kutafuta competition za ajabu mke wako alikuwa na maex 6 siju wanne achana nae sio wa kuoa kila kitu atakucompare na jamaa zake wa huko nyuma
mkuu kuna mpenzi na mke unapotafuta mke uwe na jicho la mbali kufikiria mbali na analysis ya kutosha ukitaka kujua angalia watu wengi mijini wanaoa wanwake wa kawaida sana ni bora ni bikra na hajacheweza sana . Mwanamke akishazlishwa na mimi basi kwanza nawaona kawaida wote wako sawaMkuu haya mambo usichukulie poa, ukweli ni kwamba hakuna mwanaume mjanja kwenye hili bali ni kwamaombi na uwezo wa Mungu tu
🤣🤣🤣🤣🤣Nilicomment nikiwa busy..mambo yameahajua mengi humu wanandoa wameanza paraganyika kwa ujinga wa maexMbona hujaniita 😂😂nilisema haya ni mapepo na majini yanywa damu yani tumeshaachana halafu ulete hizi shobo dundo,, ni kuleteana mikosi tu
Upo sahihi kabisa mkuu.mkuu kuna mpenzi na mke unapotafuta mke uwe na jicho la mbali kufikiria mbali na analysis ya kutosha ukitaka kujua angalia watu wengi mijini wanaoa wanwake wa kawaida sana ni bora ni bikra na hajacheweza sana . Mwanamke akishazlishwa na mimi basi kwanza nawaona kawaida wote wako sawa
Mi mwanamke akiwa na maex kibao hata aweje siwezi kumtongoza
Nikweli kabisa mkuu, yule mama ukweli hatujaona kosa lake. Lakini bwana kakomaa kwamba mkewe ameandikwa na njemba humu (jamaa anamtafuta na amemmiss na anamsifia hadi ametaja alipokua akiishi na alikua akiishi na nani) sasa jamaa amekasirishwa na nadhani anaumizwa na wivu zaidi.🤣🤣🤣🤣🤣Nilicomment nikiwa busy..mambo yameahajua mengi humu wanandoa wameanza paraganyika kwa ujinga wa maex
Upo sahihi mkuu, maana hilu halijakukuta na pengine hapo ndipo mwisho na ukomo wa ufahamu wako.Ujinga tu,,, huyo mumewe achunguzwe.. huenda ana shida mahali...
Mwanaume huwezi kuleta vita kisa upuuzi kama huo,,, Ajikite kujenga taifa
☕☕☕☕Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule uzi.
Hiyo nyumba moto umewaka na mwenye mke anaumizwa na kile "Mleta mada alicho sifia kwamba alikuwa anapewa". Mwali ameapa kwamba "nothing special yenye alimpa x wake" na jamaa kagoma hapa tupo kwa wazee tunasuluhisha.
Wakuu ebu tumieni hii mitandao pasipo kubomoa kwa wengine ona sasa leo huku panawaka na hapa mnachekelea.
I'm Done.
uzi wa annerose jamaa alifunguka kama muvi ya kihindi ha ha haHalafu weekend hii wanaume walicharuka kuandika majina halisi na mahali mtu alikuwa Anaishi,Kama ule Uzi wa Anastasia sijui aneth,sio vizuri jamani mjifunze kuwa na nidhamu na Maisha ya wenzenu.
Huyo member mtiifu naye hajielewi tu.
Sisi tuko kwenye ndoa na tunasimuliana habari za ma X zetu na maisha yanasonga sembuse mambo ya mtandaoni!
Kama angekuwa bado anakutumia hapo sawa...
Ila mambo ya kale?
Mwambie aache upuuzi
Mwanamke utamjua tu tabia zake cha kwanza kama unataka awe mke kuna vitu utahitaji kujua mfano asili yake , je alikuwa na mpenzi mwanamke anaweza kuwa amezaa ila hajachezewa sana siku iyo anatolewa bikra ndo anapta mimbaUpo sahihi kabisa mkuu.
Let's say mdada hakua na mtoto, na kisha wakakutana na jamaa kwenye mazingira tulivu na kitaarabu kabisa.
Je huyu bwana atajuaje kama mwanamke yule amechezewa ama hajachezewa sana..??