Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

Huyo Mwanaume wakukaa kutaka kujua uchafu wako wa nyuma ana moyo??
Mkuu, jamaa hakutaka kujua yalopita kuhusu mkewe.
Jamaa ni member hapa ndani na aliona uzi tu, kisha shida ikaanzia hapo.
 
Mkuu huna kapicha ukatupia tafadhali
 
Mkuu, kuoa bikra haikuhakikishii kwamba hauwezi salitiwa.
Na wapo walio oa bikraz na leo wanalia na kusaga meno kwajinsi mabikra wanavyo kunjwa huku mitaani...😜
Sikatai kuwa hawawezi kusaliti ila waliokengeuka ni asilimia ndogo mno tofauti na hawa wake ambao hatujawakuta wako sealed
 
mwenye link ya huo uzi ili tujue tunaanzia wapi kufuatilia huu mkasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…