[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amin mtani [emoji120] [emoji120] barikiwa sana
Santee sana.Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.
Pasaka njema kwenu pia
Nimegonga milaiki mingi kweli kwa jamaa ili anione lakini wapii sijui na yeye anatafuta mialiko?
Mualike dark angel basi vile kesha nialika nije nae teh teh
Karibuuu shemu wanguLe shem pilau kwako leo ndizi tayar nnazo ha ha haaa
TanteeeShukurani mpenzi, uwe na sikukuu njema.
Na kwako pia mremboPasaka Njema Warembo!
TanteeeeeeShukran chamdeko wa jr,uwe na pasaka njema wewe na king wa msata
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante sana mrs.mshana jr
Hahaha
Una uhakika Utaenda?Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.
Pasaka njema kwenu pia
Nimegonga milaiki mingi kweli kwa jamaa ili anione lakini wapii sijui na yeye anatafuta mialiko?
Mualike dark angel basi vile kesha nialika nije nae teh teh
1 Palantir
2 Te Lavista
3 Malcom Lumumba
3 The Boss
4 zitto junior
5 Dreka
6 Numbisa
7 Mzigua90
8 Shunie
9 MJUKUU WA CHIEF
wakuu na watakia"" furaha njema ya pasaka.""...MUNGU ""awajaalie "mafanikio" katika mipango yenu""
Kuna watu ambao michango yao humu ndani huwa inaniongezea maarifa na burudani!.. Wengine tumefahamiana kuweza kujuana na kubadilishana taarifa zaidi, Nawatakia Pasaka njema.
Mbarikiwe sana katika Siku hii ya Leo!..
Mdogo wangu kipenzi, asante saana na kwako pia!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.
Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
am super humbled[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.
Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
heri ya pasaka kipenziHaa haa inamaana skuhiz amekua
Soja wa get
asante mkuu"" tuko pamojaAmen bro, nashukuru sana kwa kunikumbuka.
Na wewe pia uwe na Pasaka njema mkuu wangu,!
Asante dear.dark angel pasaka njema kwako
Asante sana Dav, karibu juiceMzee wa emoj tatu don mzaramo
yna12
cute b
Mwanaharakati Sky Eclat
hearly
baba swalehe
mahondaw na Smart911
ram
Mkuu Billie
Evelyn Salt
Mtu wangu wa nguvu Thad
Asante sana my dearMimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
wakati tunaadhimisha kufufuka kwa messiah, niungane na ndugu zangu hawa kuwatakia pasaka/pasika njema na hakika bwana yesu amefufuka.
- Malcom Lumumba
- Prishaz
- Mshana Jr
- Mr Miller
- Nalendwa
- zitto junior
- Sky Eclat
- Pascal Mayalla
- All JF Members
Bila Kusahau Jamii Forum Management. Long live guys na Mungu awabariki.