Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Ukikamatwa umeisha, unaacha pesa zako bank kwa miaka 10Blackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Lete nyama mkuuUkikamatwa umeisha, unaacha pesa zako bank kwa miaka 10
Ukikamatwa umeisha, unaacha pesa zako bank kwa miaka 10
Kama siyo illegal tupe kazi vijana tunasota geto tuNiishe wapi kwani ni madawa ya kulevya kusema kusema nikikamatwa napigwa nyundo za drug dealers. Nimeshakamatwa mara kibao tu na nasolve na t.r.a issues inaisha
Ili ramani muivagae sio! Sitoi code hata mseme ninaroho mbaya ila ukweli ndio huoKama siyo illegal tupe kazi vijana tunasota geto tu
Kindege (Aviator)Habari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
Lete codeIli ramani muivagae sio! Sitoi code hata mseme ninaroho mbaya ila ukweli ndio huo
Uchoyo huo ha ha ha haBlackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
"Manufacturing is king"Habari
Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
Basi hayo ni Magendo/ smugglingNiishe wapi kwani ni madawa ya kulevya kusema kusema nikikamatwa napigwa nyundo za drug dealers. Nimeshakamatwa mara kibao tu na nasolve na t.r.a issues inaisha
Sasa mkuu unacho ongea mbona kiko wazi kama uchi wa mbuziBlackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!