Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

Blackmarket! Hiyo ni chap tu kama unaroho Ngomu lkn'... Mimi ninazo kama nne hivi nafanya huu ni mwaka wa tatu nafanya napeta... Uhakika wa kukunja mil 2 kama saving kwa mwezi ni uhakika! NB siwezi waambia ni biashara Gani hii never!!
Uchoyo huo ha ha ha ha
 
Sasa mkuu unacho ongea mbona kiko wazi kama uchi wa mbuzi
 
Sijajua mtaji wako ila ukijikita humu utatoboa:
1. UDALALI WA AKILI.
2. Spare parts za magari au bajaji au pikipiki ni machaguzi yako tu.
2. Hardware hapa unaweza ukawa unauza vifaa vyote vya ujenzi au ukajikita kwenye umeme tu au tiles tu au cements tu au mabomba tu av chuma tu machaguo ni juu yako.
3. Modern Paving yaani kuanzia uzalishaji wake hadi upangaji kwa mteja.

Note:
Zingatie "Four P" principle ya marketing.
 
Back
Top Bottom