Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Nakula vinono, karibu sana!!Jirani unafanya nini?
Akuu we kula tu.Nakula vinono, karibu sana!!
Hahaha hpn bruhLeo Hujaenda church 😁
Amemsubcontract leo dada 😆😆Hope atakua kamaliza KANDARASI YAKE YA KUMWAGA MA LIKE☺️🤣
[emoji120]Apumzike kwa AMANI.
DeadNational Anthem yukogo wap
Le Mutuz? Hauko seriousLe mutuz"sauti ya umeme"
Nyani ngabu sijui km mzima
Nimeshtuka niliposoma juu, nikajua namimi nimeshadead 🥺🥺🥺 Mwenyezi Mungu, awape pumziko la milele, wote waliotutangulia mbele za haki 🙏Gru ndugu yetu yule wa arusha, a.k.a binamu wa Bantu Lady .
last time ana niambia chama lako la panga mkononi, roho begani lipo maana kuna mtu ana nisumbua kumbe ndio alikuwa ana aga 🦅.
rip.
We live everyday, we only die onceUkiona kaburii jua kua yule pia alikua ni mtu pengine Bora kabisaa kuliko Mimi na wewe.
We live once, we die once and that once is enough.
R.i.p
Sawa sawa.We live everyday, we only die once
Dah.....😛